Posts

Showing posts from September, 2016

Going Poetic for The Environment

Image
environment inadeserve respect tuipatie attention juu for long imeface neglect if not tuko bound kufall kama trao buggy yenye imevaliwa bila belt tuconserve forests kwa kupanda miti politicians wanadestroy Mau Forest sijui wanafikiria nini plastic bags zinalitter kila corner ya jiji careless dumping itaendelea mpaka lini reduce, reuse, recycle, recover, refuse, regift, repair zitasaidia kuprotect ozone layer ka sivyo, wrath ya mother nature haitatuspare therefore lets take action now tusicompromise ability ya future generations kumeet needs zao hiyo ndio principle ya sustainable development climate change imekuwa evident factories carbon dioxide kwa atmosphere zinarelease temperature za globe zinaincrease glacier zinamelt, sea level inarise itabidi industries zipunguze pollution juu hakuna otherwise sote tunahitaji kurealise si story ya kutake chances kama game ya kuroll dice drought imeleta conflicts, kuna disaster pastoralists wanafight juu hakuna enough water