Going Poetic for The Environment
environment inadeserve respect
tuipatie attention juu for long imeface neglect
if not tuko bound kufall kama trao buggy yenye imevaliwa bila belt
tuconserve forests kwa kupanda miti
politicians wanadestroy Mau Forest sijui wanafikiria nini
plastic bags zinalitter kila corner ya jiji
careless dumping itaendelea mpaka lini
reduce, reuse, recycle, recover, refuse, regift, repair
zitasaidia kuprotect ozone layer
ka sivyo, wrath ya mother nature haitatuspare
therefore lets take action now
tusicompromise ability ya future generations kumeet needs zao
hiyo ndio principle ya sustainable development
climate change imekuwa evident
factories carbon dioxide kwa atmosphere zinarelease
temperature za globe zinaincrease
glacier zinamelt, sea level inarise
itabidi industries zipunguze pollution juu hakuna otherwise
sote tunahitaji kurealise
si story ya kutake chances kama game ya kuroll dice
drought imeleta conflicts, kuna disaster
pastoralists wanafight juu hakuna enough water na pasture
floods zimekuwa common, farmers hawaezi fanya agriculture
good farming practices zitahelp kwa soil conservation
hii ni through kuprevent soil erosion
food security itaimprove therefore kueliminate famine
hii ndio time ya kuchange our focus
initiatives za kusave the environment zinaanza na each one of us
Comments
Post a Comment